Saturday, March 9, 2013

UCHAGUZI-KENYA-UHURU KENYATTA- MAGUFULI MATATANI

USHINDI WA UHURU KENYATTA , WAZIRI DKT MAGUFULI WA TANZANIA ATAJIFICHA WAPI?
UCHAGUZI-KENYA-UHURU KENYATTA
Uhuru Kenyetta Rais  wa Taifa la Kenya

December 7  2012 at  23:40

UCHAGUZI-KENYA-UHURU KENYATTA
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli jana aliungana na Waziri Mkuu wa Zimbabwe, Morgan Tsavangirai kumpigia debe mgombea wa urais wa Kenya, Raila Odinga huku akisema mgombea huyo kupitia Chama cha Orange Democratic Party (ODM), anastahili kuwa Rais wa nchi hiyo kutokana na sifa zake za uongozi.

Akizungumza katika Mkutano Mkuu wa ODM jana, Dk Magufuli alisema hakuna sababu zozote zitakazowafanya Wakenya wasimchague Odinga.
“Nataka kuwaambia Wakenya kwamba Odinga ni mcha Mungu, mnatakiwa kujua hilo. Kama mimi ningekuwa Mkenya ningempigia huyu jamaa kura ili aongoze nchi. Lakini sasa kwa kuwa siruhusiwi hata kupiga kura, basi nawaambia msiache kumchagua huyu atawaongozeni vizuri,” alisema Dk Magufuli.

Dk Magufuli alisema kati ya wagombea wote waliojitokeza kuwania kiti cha urais nchini Kenya, hakuna anayemfikia Odinga na hiyo inaonyesha kuwa wakimchagua atawasaidia bila ubaguzi.
UCHAGUZI-KENYA-UHURU KENYATTA
Add caption
Waziri Dkt Magufuli.
Alisema na hata Odinga ambaye ni Waziri Mkuu wa Kenya akiamua kugombea ubunge katika Jimbo lake la Chato, hawezi kumshinda.

“Kwa hiyo nasimama hapa ndugu zangu wana ODM kuwapa pongezi kubwa sana, mmmefanya kitu kikubwa sana kwa sababu mmechagua jembe,” alisema.

Maswali ambayo mtandao  huu  wa www.francisgodwin.blogspot.com unajiuliza ni haya hapa .
Hivi  leo baada ya  matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya  kutangazwa na Raila Odinga  kushindwa  vibaya  katika matokeo hayo waziri  wetu mpendwa wa serikali ya CCM inayoongozwa na  Rais Jakaya Kikwete Dkt John Pombe Magufuli atajificha  wapi na ataibadili vipi kauli yake dhidi ya Odinga aliyekataliwa Kenya ?

Ama ndio kukiingiza chama  chake cha CCM  katika mahusiano mabaya na serikali ya Kenya ama ama  kuiingiza serikali ya Tanzania katika uadui na Kenya ? ni nani alimtuma Dkt Magufuli Kenya na kauli aliyoitoa kwa Odinga ni ya Serikali ama ya CCM au yake  binafsi ?

Sina uelewa wa  kutosha  juu ya hili  hivi serikali ya nchi  moja inaweza kuingilia chuguzi  za nchi nyingine na kama  sivyo Dkt Magufuli alikwenda Kenya kama nani ? na kama ndio  nchi moja inaweza  kuingilia uchaguzi  wa nchi  nyingine ina maana Dkt Ikulu  ya Tanzania  ilikuwa ikimuunga mkono Odinga na kwanini alitumwa Dkt Magufuli asitumwe makamu  wa Rais ama  waziri mkuu Mizengo Pinda?

Je? kama Dkt Magufuli hakutumwa na serikali  ya Tanzania  wala Chama  chake cha CCM alikwenda huko kama nani? na kama ni mtu binafsi akiwa  huko posho  zake  zilitoka  wapi na ailijitambulisha  vipi?

wadau mimi katika  mambo haya ni mchanga sana naomba  kuelimishwa nijue na si vibaya waziri  wangu Dkt Magufuli akanisaidia majibu haya. BY GODWIN

9 comments:

 1. 1- Number your curse words and call out a number when stress strikes.
  One of my favorite ones is where the thanksgiving
  turkey is hiding from a guy, who apparently wants to get him in the oven, by placing a lampshade on his head and
  standing on a dresser so he looks like a lamp. Many people prefer
  the link baiting to increasing the profit in the online marketing field.


  my blog - www.mysocialitz.com

  ReplyDelete
 2. excellent publish, very informative. I ponder why the other specialists of this sector do not notice this.
  You must proceed your writing. I am sure, you have
  a great readers' base already!

  Feel free to surf to my blog 64800

  ReplyDelete
 3. Hi there, how's it going? I just mentioned this document along with a friend, we had a good chuckle.

  Review my page :: relevant web-site

  ReplyDelete
 4. If you hаvе cell ρhone a newеr Blacκberry,
  ωhy would уou w&#1072nt to

  Look at my web-ѕite ... dien thoai

  ReplyDelete
 5. You will find the most updated news being uploaded or published in blogs and celeb news sites.
  It’s interesting how stars get annoyed when the paparazzi takes pictures of them.
  Celebritynewsapp has developed a celebrity app which is getting popular
  day by day.

  ReplyDelete
 6. Great goods from you, man. I have understand your stuff previous
  to and you are just too wonderful. I actually
  like what you've acquired here, really like what you're saying and the way in which you say
  it. You make it enjoyable and you still take care of
  to keep it sensible. I cant wait to read much more from you.
  This is really a wonderful web site.

  Here is my web page: her latest blog

  ReplyDelete
 7. Informative article, totally what I was looking for.  Check out my webpage :: 1

  ReplyDelete
 8. They aim at miming various good qualities of the counterparts of the assumed celebrity.
  " Earlier today some cruise ship struck land in Alaska. All kinds of sports news today are offered live through the television.

  Here is my homepage - www.eventtoday.nl

  ReplyDelete
 9. This amazing information is priceless. How do I discover more?


  My web blog mouse click the up coming website

  ReplyDelete