Thursday, March 7, 2013

Matokeo ya Urais Kenya, Kenya election


Kenya-Election
Kura zikihesabiwa kwa Mikono

Mgombea Mwenza wa Waziri Mkuu wa Kenya katika nafasi ya urais Kalonzo Musyoka amedai kuwa zoezi la kuhesabu kura za uchaguzi wa rais limekuwa na udanganyifu.

Amesema wana ushahidi kuwa matokeo waliyopewa yamefanyiwa ujanja.

Kalonzo amesema zoezi la kuhesabu kura hizo linatakiwa kusitishwa, hata hivyo akatahadharisha kuwa maoni yake sio wito wa kufanyika kwa maandamano.

Raila Odinga amekuwa akiachwa nyuma na mpinzani wake Uhuru Kenyatta huku kukiwa na ucheleweshaji wa kusebu na kutangaza matokeo

No comments:

Post a Comment